Thursday, 9 May 2013

ujenzi wa vituo vya mabasi yaendayo kasi umeanza cheki hapa




Vitavyokuwa vituo vya mabasi yaendayo haraka jijini Dar es salaam vimeanza kumea katika barabara ya Morogoro road. Juu ni Mwembechai na chini ni Magomeni Usalama. Kasi ya ujenzi wa barabara hiyo imeendelea katika muda wote huu toka ianze mwishoni mwa mwaka jana