Showing posts with label SPORT. Show all posts
Showing posts with label SPORT. Show all posts

Monday, 24 June 2013

CHELSEA YAFIKA BEI KWA CAVANNI, NAPOLI YATANGAZA KATIKA REDIO YAKE INAMUUZA DARAJANI ZAIDI YA PAUNI MILIONI 49

KITUO cha Redio cha Napoli, Marte kimetangaza kwamba dau la Pauni Milioni 49.3 limetolewa na Chelsea kwa ajili ya mshambuliaji  Edinson Cavani.

Katika taarifa ya jana usiku, Radio Marte ilitangaza: "Tumepokea taarifa kutoka ofisini kwa vyanzo vya kuaminika kwamba, Napoli imekubaliana dili la kuiuzia Chelsea Cavani.
Hot shot: Chelsea appear to be in pole position to sign Edinson Cavani
Kitu moto: Chelsea sasa ipo katika nafasi ya kumnasa Edinson Cavani

"Rafa Benitez pia amebariki, lakini kabla ya kutangaza rasmi, Napoli inataka kupata mshambuliaji atakayeziba pengo la Il Matador.
"Aurelio De Laurentiis", klabu itasomba kiasi cha Euro Milioni 58, sawa na dili la Ezequiel Lavezzi kwenda PSG mwaka jana.
"Mchezaji huyo atajiingizia mshahara wa Euro Milioni 8.5 kwa msimu pamoja na haki za picha,". Habari zimevuja kama kwamba Cavani ametangaza anataka kukutana uso kwa uso na Rais, Aurelio de Laurentiis na kuna taarifa kwamba Manchester United nayo imo kwenye mbio hizo. 
Mshambuliaji huyo wa Uruguayna baba yake awali walionyesha nia ya kutaka kwenda Real Madrid. Klabu hiyo ya Hispani iliwasiliana na Napoli, lakini sasa itabidi waipiku ofa iliyotolewa na Chelsea.
Most wanted: Man United and PSG are also keeping tabs on Cavani
Anayetakiwa sana: Man United na PSG pia zinamtaka Cavani

FELLAINI ATAKA PAUNI 100,000 KWA WIKI ARSENAL...KUMNG'OA EVERTON PAUNI MILIONI 22

KIUNGO Marouane Fellaini anataka kujiunga na katika orodha ya wachezaji wanaolipwa Pauni 100,000 kwa wiki Arsenal, lakini The Gunners tayari imetenga dau kubwa kwa usajili mwingine.
Huku mshambuliaji wa Real Madrid, Gonzalo Higuain akiwa njiani kutua kwa dau la Pauni Milioni 22, The Gunners wataelekeza nguvu zao katika kuboresha safu ya kiungo.
Raring to go: Marouane Fellaini is keen on joining Arsenal
Tayari kuondoka: Marouane Fellaini anataka kujiunga na  Arsenal

Fellaini ametokea kuwa mshindani mkuu wa nafasi mbele ya zoezi la Arsene Wenger kusaka kiungo, lakini dau kubwa linalotakiwa linaleta kama uhamisho huo utafanikiwa.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25, ambaye kwa sasa analipwa Pauni 75,000 kwa wiki Everton, anataka kukuza kiwango chake cha sasa mshahara.
Kutoka kikosi cha sasa cha Arsenal, ni Theo Walcott na Lukas Podolski peke yao wapo katika kiwango cha mshahara cha Pauni 100,000 kwa wiki.
Mbali na kudai mshahara mkubwa, Arsenal pia watalazimika kufika bei anayouzwa Fellaini, Pauni Milioni 22- ambayo itafanya dili zima la usajili wake liendee kwenye Pauni Milioni 50.
Powerhouse: Fellaini could bolster Arsenal midfield
Injini: Fellaini anaweza kuboresha safu ya kiungo ya Arsenal
Target: New Everton boss Roberto Martinez faces fight to keep Fellaini
Mtu muhimu: Kocha mpya wa Everton, Roberto Martinez anakabiliwa na changamoto ya kumbakiza Fellaini

Na wakati Wakuu wa Arsenal wanataka huduma ya Fellaini majira haya ya joto, inafahamika kwamba watalazimika kufika bei inayotakiwa.
Zaidi ya hapo, Fellaini anataka uhakika wa kucheza katika safu kuu ya kiungo Uwanja wa Emirates. David Moyes alikuwa anamtumia kama mshambuliaji wa pili Everton.
Zenit St Petersburg, ambayo ina fedha za kumwaga, kiasi cha kuweza kufika bei ya Mbelgiji huyo, itatoa upinzani kwa The Gunners katika kuwania saini ya Fellaini.
Manchester City pia imeonyesha nia ya kumsajili Fellaini, lakini ilipunguza kasi tangu Yaya Toure asaini kuongeza Mkataba.

Tuesday, 4 June 2013

SIMBA NI DARAJA LA KUNIPELEKA ULAYA KUCHEZA SOKA LA KULIPWA.... KITASA KIPYA CHA SIMBA (Robert Ssenkoom)

Ssenkoom kushoto akizungumza na mwandishi Uwanja wa Ndege Dar es Salaam jana usiku

BEKI mpya wa Simba SC, Robert Ssenkoom amesema kwamba anataka kuitumia klabu hiyo kama daraja la kupandia kwenda Ulaya kucheza soka ya kulipwa.

Akizungumza na mwandishi baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam usiku wa jana, Ssenkoom anayetokea URA ya kwao, Uganda alisema kwamba kiu yake ni kucheza Ulaya.

Beki huyo mwenye mwili sawa na beki mwingine aliyehama Simba kujiunga na watani wa jadi, Yanga SC msimu huu, Kevin Yondan, alisema anaamini timu yake mpya itamsaidia kutimiza ndoto zake hizo.
 


Alisema anaifahamu Simba SC kwa kuwa mwaka jana alikuja nchini katika Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame akiwa na URA na akavutiwa nayo kwa ujumla.

“Ina mashabiki wazuri, wanajua kuwasapoti wachezaji wao. Nataka niwe beki bora hapa Tanzania, nina matumaini ya kufanya vizuri na ninawaahidi mambo mazuri tu wapenzi wa Simba SC,”alisema.

Ssenkoom ambaye amesaini Mkataba wa miaka miwili Simba SC amesema wapenzi wa klabu hiyo watarajie kumuona anaanza mazoezi mara tu atakapokabidhiwa vifaa vya mazoezi.

Beki huyo alitua majira ya saa 6 usiku wa jana Dar es Salaam na kulakiwa na viongozi na wapenzi wachache wa timu hiyo.

Anakuwa Mganda wa tatu katika kikosi cha Simba, baada ya kipa Abbel Dhaira na kiungo Mussa Mudde na kama Wekundu hao wa Msimbazi watafanikiwa kumsajili Moses Oloya basi atakuwa anacheza timu moja ndugu zake watatu.  
Kocha Msaidizi wa Simba SC, Moses Basena pia anatokea Uganda na ndiye aliyefanikisha usajili wa beki huyo na anashughulikia pia mipango ya Oloya kutua Msimbazi.

Simba SC imekuwa ikihaha kuimarisha safu yake ya ulinzi tangu impoteze beki Kevin Yondan aliyenyakuliwa na watani, Yanga SC.

Mwanzoni mwa msimu ilimsajili Lino Masombo kutoka DRC, ikamtema, baadaye ikamsajili Mbuyu Twite kutoka Rwanda, lakini Yanga pia wakaingilia na kumbadili mawazo akageuza njia kwenda Jangwani alipo sasa.

Ikamsajili Paschal Ochieng kutoka Kenya, lakini haikuridhika naye ikamtema. Ikamsajili Komabil Keita naye pia haikuridhika naye ikamtema na katika mechi za mwishoni za msimu ikalazimika kuwapanga pamoja katika beki ya kati, Shomary Kapombe na Mudde, ambao kidogo walipunguza matatizo.

Baada ya kutua kwa Ssenkoom, sasa kocha mpya wa Simba SC, Alhaj Abdallah Athumani Seif ‘King Kibadeni’ atakuwa na jukumu la kumtafutia mtu sahihi wa kucheza naye pale katikati, kama atakuwa Kapombe ama Mudde au yeyote, ili mradi kutengeneza ukuta imara.   

NIMEKUJA BARCA KUMSAIDIA MESSI AENDELEE KUWA MCHEZAJI BORA WA DUNIA.... NEYMAR

BAADA ya kukamilisha uhamisho wake kutua Barcelona, Neymar ambaye anaungana na Lionel Messi kuunda safu mpya kali ya ushambuliaji, ameweka wazi malengo yake.
 
Mbrazil huyo alisafiri moja kwa moja kwenda Hispania baada ya Brazil kutoa sare ya 2-2 nyumbani na England mjini Rio de Janeiro Jumapili, na katika mahojiano aliyofanyiwa kwenye Uwanja wa Nou Camp alisema: "Nipo kumsaidia na kumsaidia Messi kuendelea kuwa mchezaji bora duniani,".
 
Neymar alipokewa kifalme katika Uwanja wa Ndege wa Barcelona - kabla ya kupelekwa kwenye ofisi za klabu hiyo kwa ajili ya kupigwa picha akiwa na jezi ya Blaugrana kisha kwenda kufanyiwa vipimo vya afya.
 
Arrival: Neymar was unveiled as a Barcelona player at the Nou Camp on Monday
Neymar alitambulishwa kuwa mchezaji mpya wa Barcelona Nou Camp jana
 
Welcome: The Brazilian has signed a five-year deal with the Catalan club
Mbrazil huyo amesaini Mkataba wa miaka mitano Catalan
 
Juggling: Neymar showed off his skills to the Nou Camp crowd
Neymar akionyesha uwezo wake wa kuchezea mpira mbele ya umati wa Nou Camp
 
FC Barcelona's new signing Neymar
Dynamic duo: Neymar will join Lionel Messi in a formidable partnership for Barcelona
Neymar anaungana na 'mchawi' huyu Lionel Messi kuunda safu kali ya ushambuliaji Barcelona
 
Meet and greet: Barcelona's president Sandro Rosell welcomes Neymar to the Nou Camp
Rais wa Barcelona, Sandro Rosell akimkaribisha Neymar Nou Camp
 
Crowd: Neymar waves to the fans gathered at the Nou Camp as he walks onto the pitch for the first time
Neymar akipungia mkono mashabiki Nou Camp 
 
Fans: Neymar highfives young supporters on the Nou Camp pitch
Neymar akisalimiana na mashabiki watoto wa Barca Uwabnja wa Nou Camp
 
Put through his paces: Neymar passed his medical before being unveiled on the pitch
Neymar akifanyiwa vipimo vya afya
 
Put through his paces: Neymar passed his medical before being unveiled on the pitch

Monday, 20 May 2013

GARETH BALE KUSAINI MKATABA MPYA SPURS...ATAUZWA PAUNI MILIONI 50 MSIMU UJAO

KIUNGO Gareth Bale anajiandaa kusaini mkataba mpya Tottenham, kuendelea kuitumikia klabu hiyo licha ya kukosa nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao.
 
Dili hilo ambalo linaweza kupunguza kidogo maumivu ya timu hiyo ya London Kaskazini, Spurs baada ya kuzidiwa na wapinzani wao, Arsenal katika kuwania nafasi ya mwisho wa kucheza Ligi ya Mabingwa, litamuingizia nyota huyo wa Wales Pauni 130,000 kwa wiki, kwa mujibu wa gazeti la The Evening Standard.
 
Lakini inaaminika mkataba huo, utamruhusu Bale kuondoka White Hart Lane msimu ujao kwenda klabu yoyote itakayotoa ofa ya Pauni Milioni 50 - hata ikiwa Tottenham itamaliza ndani ya nne bora.
 
Celebrate: Gareth Bale, after scoring his latest screamer against Sunderland, has signed a new Tottenham deal
Gareth Bale

MOURINHO SASA HURU KUREJEA CHELSEA BAADA YA KUFUKUZWA 'KISTAARABU' REAL MADRID

KAMA amefukuzwa. Kocha Jose Mourinho yuko huru kurejea Chelsea, baada ya rais wa Real Madrid, Florentino Perez juzi usiku kusitisha malipo Pauni 12 za kuvunja mkataba wake.
 
Perez ametangaza kwamba, matatizo ya Mourinho miaka yake mitatu kazini Bernabeu vitaisha mwezi ujao, baada ya kufanya mazungumzo na kocha huyo Mreno mwishoni mwa wiki.
 
Mourinho ana miaka minne katika mkataba wake bado. Ataiongoza timu Jumapili dhidi ya Real Sociedad na kisha katika mechi ya nyumbani dhidi ya Osasuna, Juni 1.
 
Special gone: Jose Mourinho has been sacked as Real Madrid manager, with a return to Chelsea on the cards
Special anaondoka: Jose Mourinho amefukuzwa ukocha wa Real Madrid na sasa yuko kurejea Chelsea
 
Mourinho
Early bath: Mourinho was sent off in Real's 2-1 Copa Del Rey final defeat by Atletico
Kitimutimu: Mourinho alitolewa nje kwa kadi nyekundu Real ikilala 2-1 katika Fainali ya Copa Del Rey dhidi ya Atletico

Perez, mwenye matumaini ya kumtwaa kocha wa Paris Saint-Germain, Carlo Ancelotti, alisema: "Klabu na kocha tumekubaliana ni wakati mwafaka kumaliza uhusiano wetu. Tungependa kumshukuru Jose kwa kazi yote ngumu. Timu imeimarika katika miaka yake mitatu na tunamtakia kila la heri.’
 
Special One ataondoka rasmi katika nafasi yake Bernabeu Juni 3 na Chelsea inatumai kumtambulisha katika Mkutano na Waandishi wa Habari Stamford Bridge wiki inayofuata.
 
Taking his place: PSG boss Carlo Ancelotti is lined up to be the man to step into Mourinho's shoes
Anachukua nafasi: Kocha wa PSG, Carlo Ancelotti anatarajiwa kuvaa viatu vya Mourinho
 
Come home: Mourinho's return to Chelsea would be a popular move among the Stamford Bridge crowd
Njoo nyumbani: Kurejea kwa Mourinho Chelsea kutakuwa jambo kubwa na zuri mbele ya umati wa Stamford Bridge
 
Perez alisema: "Tumepiga hatua kubwa katika maana ya ushindani. Sasa tunarejea tulipokuwa. Kabla, tuliondoledwa Ligi ya Mabingwa katika hatua ya 16 Bora tu na sasa tunaingia kwenye makundi wakati wote.
 
"Tumecheza soka ya nguvu msimu uliopita. Tumetikisa dunia kwa kufika Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Fainali ya Copa del Rey, itakuwa inatosha kwetu, lakini haitoshi,"alisema.
 
Stat attack: Mourinho has the best win percentage in Premier League history
REKODI: Mourinho ana rekodi nzuri zaidi ya ushindi katika Ligi Kuu England kihistoria

AFANDE SELE AGOMA KULA BAADA YA SIMBA KUPAKATWA NA YANGA

 
King Selemani ama Afande Sele kutoka mji kasoro bahari Morogoro ni moja ya watu wanaoonekana kuwa ‘addicted’ na ushabiki wa soka kiasi cha kushindwa kuvumilia maumivu ya kufungwa kwa timu anayoishabikia, Simba kitendo kilichompelekea asuse kula toka Jumamosi.

Akizungumza na Suddy Brown katika segment maarufu ya U Heard kupitia XXL ya Clouds FM, mke wa rapper huyo mkongwe Mama Tunda, amethibitisha kuwa mumewe amegoma kula toka siku ya mechi. 
 
Mbaya zaidi kwa Afande ni kuwa Mama Tunda na binti yao Tunda ni mashabiki wa Yanga hivyo wao na Selemani Msindi ni mashabiki wa timu mbili pinzani, hatupati picha humo ndani panavyokuwa ikifungwa timu anayoshabikia baba wa familia!. Minuno ya hatari bila shaka. Pole Afande.

CHEKI TASWIRA ILIVOKUWA WAKATI NGASA AKIANGUKA SAINI YA KUITUMIKIA YANAGA SC KWA MIAKA MIWILI

Mrisho Ngassa akiibusu jezi ya Yanga baada ya kutambulishwa rasmi kurejea katika klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili asubuhi ya leo, makao ya klabu hiyo makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam. 

Katibu wa Yanga, Lawrence Mwalusako akimkabidhi Ngassa jezi ya Yanga leo   
Mwalusako anamkabidhi kezi Ngassa

Seif Abdallah akimkumbatia Ngassa

Mabosi wa Yanga SC na Ngassa

Abdallah Bin Kleb akimkumbatia Ngassa

Mussa Katabaro akimkumbatia Ngassa

Mwalusako akimshuhudia Ngassa anavaa jezi

Ngassa anavaa jezi

Anavaa jezi

MAN U KUTETA NA AIRTEL JUU YA MRADI WA AIRTEL RISING STARS NCHINI

Viongozi wawili kutoka Manchester United -- Anthony Benerjee, Mkurugenzi wa Uhusiano na Michael Higham, Meneja Uhusiano wanatua jijini Dar es Salaam Jumatano hii kufanya manzungumzo na viongozi wa Airtel Tanzania namna bora ya kuendesha michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars mwaka huu.

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzana takaojumuisha wadau mbalimbali utafanyika makao akuu ya Airtel Tanzania jijini Dar es Salaam na kutathimini ARS ya miaka miwili iliyopita ili kuona hamna nzuri ya kuendesha michuano siku za usoni kuanzia mwaka huu.

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ni moja ya wadau wataoshiriki mkutano huo ili kutoa mchango wao hasa katika masuala ya kifundi kama vile upangaji wa ratiba ya ashindano.

Ratiba ya kuanza kwa ARS 2013 inatarajiwa kutangazwa mwezi huu. Michuano ya soka Airtel Rising Stars ilizinduliwa hapa nchini Tanzania na sehemu nyingine barani Afrika mwaka 2011 ikiwa na lengo mahsusi la kusaidia kuvumbua vipaji vya wanasoka chipukizi na kuwafanya aonekane kwa makocha na mawakala wa kusaka vipaji vya wachezaji nyota.

Mashaindano haya huanzia ngazi ya chini ambapo timu za sekondari ngazi ya mkoa huchuana ili kupata wachezaji nyota wa kuunda kombaini inayowakilisha mkoa husika kwenye mashindano ya Taifa ambayo hufanyika jijini Dar es Salaam. Jumla ya timu 48 zimepata fursa ya kushiriki ARS katika miaka miwili iliyopita.

Katika mwaka wa uzinduzi  2011 mashindano ya ARS ngazi ya Taifa yalifuatiwa na kliniki ya kimataifa chini ya usimamizi wa makocha kutoka Manchester United iliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na kushirikisha wavulana na wasichana kutoka nchi za Kenya, Malawi, Sierra Leone na mwenyeji Tanzania.

Mwaka jana fainali za taifa za ARS zilifuatiwa na michuano ya kimataifa ya ARS zilizofanyika jijini Nairobi zikishirikisha nchi ambazo kampuni ya Airtel hufanya biashara. Vile vile kliniki ya mwaka jana ilifanyika Nairobi chini ya usimamizi ya makocha wazoefu kutoka shule za mafunzo ya soka ya vijana za Manchester United ambapo vijana walipata fursa ya kujifunza mbinu mbalimbali za soka.

MRISHO NGASSA ATAMBULISHWA RASMI KUREJEA YANGA HII LEO

Katibu Mkuu wa Mabingwa wa Soka  Tanzania Bara, Yanga ya jijini Dar es Salaam, Lawrence Mwalusako amemtambulisha rasmi Mshambuliaji Mrisho Khalfan Ngassa kuwa mchezaji mpya kujiunga na timu hiyo msimu ujao wa Ligi na michuano ya kimataifa.
 
Mrisho Ngassa ambaye anarudi Yanga baada ya kuihama timu hiyo kwa kutimkia kwa Matajiri wa Bongo, Azam FC na baade mwaka jana kuzwa Simba kwa Mkopo baada ya kutokea sintofahamu za kimaadili ndani ya Klabu yake hiyo.
Ngassa alienda kuichezea Simba msimu uliopita baada ya Klabu yake ya Azam kuchukizwa na kitendo chake cha kuibusu jezi ya Yanga wakati timu hizo zikicheza.

 Ngassa anakuwa ni mchezaji wa kwanza kuatangazwa na klabu hiyo kumsajili muda mfupi tu baada ya kumalizika kwa Ligi Kuu na tayari ameshaanguka saini ya kuichezea klabu yake hiyo ambayo anamapenzi nayo makubwa hapa nchini kwa miaka 2.
Mrisho Ngassa akiibusu jezi ya Yanga baada ya kutambulishwa rasmi kurejea katika klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili asubuhi ya leo, makao ya klabu hiyo makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam.

Sunday, 19 May 2013

SIR ALEX FERGUSON AMEWAAGA MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED KWENYE MCHEZO AMBAO MAN U ILITOKA 5-5 NA WBA JANA, ANGALIA TASWIRA ILIVOKUWA WAKATI AKIAGWA

The curtain was brought down on a remarkable career as Sir Alex Ferguson took charge of Manchester United for the last time against West Brom.

The 71-year-old Scot, who will be replaced by David Moyes, won 13 league titles, two European Cups, five FA cups and a European Cup Winners' Cup at Old Trafford.

And his 26-year reign ended with a 10-goal thriller as West Brom fought back from 5-2 down to draw 5-5 with the champions.

I'm off: Sir Alex Ferguson absorbs the standing ovation from United's fans at the final whistle
I'm off: Sir Alex Ferguson absorbs the standing ovation from United's fans at the final whistle

I'm off: Sir Alex Ferguson absorbs the standing ovation from United's fans at the final whistle

Missing you already: Fergie walks towards the fans
Missing you already: Fergie walks towards the fans
Missing you already: Fergie walks towards the fans in the away end at The Hawthorns
 
Out on his own: Ferguson heads towards the United supporters inside The Hawthorns
Out on his own: Ferguson heads towards the United supporters inside The Hawthorns

Take a bow: Fergie praises the United fans who travelled to West Brom on the final day
Take a bow: Fergie praises the United fans who travelled to West Brom on the final day
 
Ferguson was given a guard of honour from both teams and a rapturous ovation from the fans as he walked onto the pitch at The Hawthorns.
 
He was then comically handed a fresh packet of chewing gum by the West Brom mascot, Baggie Bird.

Sign of the times: A Manchester United fan aims a cheeky message for Fergie's successor
Sign of the times: A Manchester United fan aims a cheeky message for Fergie's successor

Farewell: Incoming David Moyes gestures to the Everton fans after losing 2-1 at Chelsea
Farewell: Incoming David Moyes gestures to the Everton fans after losing 2-1 at Chelsea
 
Farewell: Ferguson was given a guard of honour by both teams prior to the match
Farewell: Ferguson was given a guard of honour by both teams prior to the match
 
Farewell: Ferguson was given a guard of honour by both teams prior to the match

Here's a gift: Baggie Bird, the West Brom mascot, hands Ferguson a fresh packet of chewing gum
Here's a gift: Baggie Bird, the West Brom mascot, hands Ferguson a fresh packet of chewing gum
 
It didn't take long for Ferguson's team to go in front as Shinji Kagawa opened the scoring in the sixth minute, before a Jonas Olsson own goal three minutes later gave Manchester United a 2-0 lead.

Alexander Buttner made it 3-0 for United after half an hour but James Morrison pulled one back for the hosts just before half time.

Romelu Lukaku then scored in the 50th minute to spark hopes of a West Brom comeback, but Robin van Persie and Javier Hernandez extended United's lead.

Snappers: Fans desperate to catch a glimpse of Ferguson as he arrives by coach at The Hawthorns
Snappers: Fans desperate to catch a glimpse of Ferguson as he arrives by coach at The Hawthorns
 
Here I come: Ferguson arrives by coach at The Hawthorns
Here I come: Ferguson arrives by coach at The Hawthorns

Legends: Ferguson and Scholes are both retiring after today's game
Legends: Ferguson and Scholes are both retiring after today's game

Legends: Ferguson and Scholes are both retiring after today's game

Amazingly, West Brom pulled it back to 5-5 with four minutes remaining through two goals from Lukaku and one from Youssef Mulumbu.

There was a feverish atmosphere outside the ground prior to the match with souvenir scarves and programmes selling rapidly.

One cunning fan incredibly snapped up 700 of the special edition programmes at a cost of £2,800.

Smoke: Manchester United fans set off a red flare during the match
Smoke: Manchester United fans set off a red flare during the match
 
Early lead: Shinji Kagawa opened the scoring for Manchester United in the sixth minute
Early lead: Shinji Kagawa opened the scoring for Manchester United in the sixth minute
 
At 144 pages, the programme, selling at £4 each, is the biggest ever produced for a domestic fixture in England.

20,000 copes were printed, 17,500 more than the amount produced for West Brom's home fixture against Wigan two weeks ago.

Tributes: Banners, flags and scarves featuring Ferguson messages are in abundance at The Hawthorns
Tributes: Banners, flags and scarves featuring Ferguson messages are in abundance at The Hawthorns
 
Tributes: Banners, flags and scarves featuring Ferguson messages are in abundance at The Hawthorns

Tributes: Banners, flags and scarves featuring Ferguson messages are in abundance at The Hawthorns
Another supporter purchased 300 copies for £1,200, which means that one twentieth of the total editions printed are in the hands of two people.

Special edition: One fan bought 700 copies of the 144-page souvenir programme at a cost of £2,800
Special edition: One fan bought 700 copies of the 144-page souvenir programme at a cost of £2,800

Special edition: One fan bought 700 copies of the 144-page souvenir programme at a cost of £2,800
The programmes, which feature a 40-page tribute to Ferguson, are in hot demand and the club had already sold over 5,000 online by Friday.
 
  Famous words: A banner featuring Ferguson's famous quote after the 1999 Champions League final