Showing posts with label BURUDANI. Show all posts
Showing posts with label BURUDANI. Show all posts

Tuesday, 18 June 2013

Jacob Steven (JB) achaguliwa kuwa balozi na Oxfam; Ni katika kampeni yao ya Grow

Mwigizaji anayekubalika zaidi nchini na aliyeshinda tuzo ya mwigizaji bora wa kiume 2012/2013 kupitia tuzo za steps entertainment zilizofanyika siku ya tarehe 15/06/2013 jijini Dar es Salaam, Jacob Steven maarufu Zaidi kama JB ama “Bonge la bwana” amechaguliwa kuwa balozi wa shiriki lisilo la kiserikali la Oxfam International linalojihushisha na mambo mbalimbali ya kuondoa umasikini duniani kupitia kampeni yake ya grow kwa upande wa Tanzania.

Usimikaji huo ulioambata na utoaji wa tuzo maalumu kwa watu washindi hao sita wakiwemo Dina Marious wa clouds FM, Mheshimiwa Halima Mdee (Mbunge wa kawe), Mheshimiwa Shy-Rose Bhanji (Mbunge), Mchoraji katuni maarufu Masoud Ally wa Kipanya, Mbunifu wa mitindo Tanzania Khadija Mwanamboka na Blogger maarufu nchini Shamimu Mwasha.

GROW ni kampeni ya kimataifa inayoendeshwa na shirika la Oxfam. Kampeni hii inataka tuoteshe na kuimarisha uzalishaji na upatikanaji wa chakula, uimarishaji wa haki na mustakabali wa wanawake wazalishaji wa chakula na pia kulinda mandhari ya uoto na uhalisia wa sayari yetu.

Dunia inazalisha chakula cha kutosha lakini watu wapatao milioni moja wanalala bila kula kila siku. Mbaya zaidi, idadi kubwa ya hao ni wanawake wazalishaji na watoto.

Tuesday, 4 June 2013

HATIMAYE HUDDAH AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUTOKA BBA, HIKI NDO ALICHOSEMA

Mshiriki kutoka kenya aliyetolewa katika mjengo wa BBA wa kwanza kwanza, mwanadada Huddah. Jana baada ya kutoka mjengoni aliamua kuingia twitter na kufunguka yaliyomoyoni. 

zifuatazo ni baadh ya tweet alizotweet. 
I am happy i was evicted 1st nobody will ever forget this...and thats what fame is,staying in peoples minds...I am a legend in my own rights

7days in an enclosed enviroment is Eternity...if u think u could have done better,auditions happen every year. Good luck.

Roberta Alai...bitch nigga to the bone....u are about to bitch for long now!

True,i dont kiss ass,Id still be up for eviction this week if i stayed @DjSwayjulu
 
Interviews making me feel like the star i am...And checking the votes,Kenya was behind me 100%...These tears cant stop flowing.

You guys are funny,i had missed u all..Atleast u got to see the other side of the coin.Dont hate,appreciate! PEACE.This is history hehe!

Monday, 3 June 2013

TALK OF THE TOWN WEMA SEPETU KWENYE RED CARPET YA MISS DAR CITY CENTER 2013..

Guys huyu ndio talk of the town of all time, kama kuna anajisema huko uchochoroni na yeye top in town jamani akajipange akajipange tena eheheh samahani lakini kama nimemgusa mtu yoyote anaejipandisha chati akati hana kiki mjini..
 

Saturday, 1 June 2013

NANI KUIBUKA NA TAJI LA MISS DAR CITY CENTER HAPO KESHO? WACHEKI KWANZA WAREMBO WALIVOWAKA HAPA



Warembo wa miss Dar City Center, jinsi walivyo toklezea kwenye Friday Night Live ya EATV jana usiku. Shindano la kumsaka mrembo wa miss dar city center linafanyika leo Golden Tulip, 20,000/ kawaida kwa 50,000/ V.I.P

Monday, 27 May 2013

FEDHA KESSY NA NANDO WAIWAKILISHA TANZANIA KWENYE SHINDANO LA BIG BROTHER-THE CHASE 2013

IMG_0226
Mwakilishi wa Tanzania Fedha Kessy akiwasalimu mashabiki wake kwa kuwapungia bendera ya Tanzania. Kulia ni mtangazaji wa Shindano la Big Brother The Chase 2013 Ik.
 
IMG_0156
Kundi la Mafikizolo la nchini Afrika Kusini likitoa burudani wakati wa uzinduzi wa show ya Big Brother-The Chase iliyorushwa Live na Channel za DStv 197 na 198 jijini Johannesburg usiku huu. Shindano la Big Brother-The Chase limedhaminiwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel.

IMG_0140
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwemo waandishi wa habari kutoka nchin mbalimbali za Afrika kushuhudia Live uzinduzi huo.
 
IMG_0209
Mwakilishi kutoka Tanzania Nando akihojiwa na Mtangazaji wa kipindi hicho Ik wakati wa uzinduzi wa show hiyo.Kushoto patna wa Nando Mshiriki kutoka Namibia Cleo.
 
IMG_0231
Mtangazaji IK akifanya mahojiano na Patna wa Mwakilishi wa Tanzania Mshiriki kutoka Ghana Elikem wakati wa uzinduzi wa Shindano la Big Brother The Chase lililozinduliwa rasmi leo jijini Johannesburg Afrika Kusini ambapo washiriki watakaa ndani ya jumba hilo kwa siku 90 na mshindi kujinyakulia kitita cha Usd 300,000. Kulia ni Fedha Kessy mshiriki kutoka Tanzania.
 
IMG_0235
Mtangazaji IK akimtambulisha rasmi mshiriki kutoka Tanzania Fedha Kessy kwa Patna wake Mshiriki kutoka Ghana Elikem wakati wa uzinduzi wa shindano hilo leo jijini Johannesburg.
 
IMG_0108
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka nchi mbalimbali za Afrika waliopata mwaliko wa kuhudhuria uzinduzi wa shindano hilo Live kutoka Kampuni ya Multichoice Africa. Wa pili kulia ni Operations Manager wa Mo Blog Zainul Mzige aliyeiwakilisha Tanzania.
 
IMG_0081
Kutoka kushoto ni Mwandishi wa habari kutoka Afrika Kusini Munya, Buhle na Thato kutoka Ofisi za Multichoice Afrika Kusini wakishow love back stage wakati wa uzinduzi wa shindano la Big Brother The Chase.
 
IMG_0083
Wageni waalikwa kutoka mataifa mbalimbali mbele ya camera yetu.
 
IMG_0098
Mini Bar iliyondaliwa maalum kwa wageni waalikwa.
 
IMG_0220
Msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka nchini Kenya Stella Mwangi a.k.a STL akitoa burudani huku akipewa sapoti na Manager wake.
 
IMG_0218
(Picha na Dewji Blog)

Monday, 20 May 2013

HADIJA SAID AIBUKA MSHINDI WA TAJI LA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 KITAIFA CHEKI TASWIRA ILIVOKUWA

 
MSHINDI WA TAJI LA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 HADIJA SAID MISS UTALII MOROGORO  KATIKATI AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA LUCY NOEL MISS UTALII DAR ES SALAAM KUSHOTO NA MSHINDI WA TATU KULIA THELESIA KILOMO MISS UTALII VYUO VIKUU.
 MSHINDI WA TAJI LA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 HADIJA SAID MISS UTALII MOROGORO AKISHWA TAJI LA USHINDI NA MGENI RASMI KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA TANGA LUTENI KANALI MSTAAFU CHIKU GALAWA,MKUU WA WILAYA YA TANGA HALIMA BENDEGO
 KUTOKA KUSHOTO NI MISS UTALII KUTOKA MKOA WA KATAVI ASHA RAMADHANI ALIYE SHINDA NAFASI YA NNE, LUCY NOEL MISS UTALII DAR ES SALAAM ALIYESHINDA NAFASI YA PILI, MISS UTALII MOROGORO HADIJA SAID AMBAYE NDIYE MISS UTALII TANZANIA 2012/13, MISS UTALII VYUO VIKUU THERESIA KILOMO
 KUTOKA KUSHOTO NI MISS UTALII KUTOKA MKOA WA KATAVI ASHA RAMADHANI ALIYE SHINDA NAFASI YA NNE, LUCY NOEL MISS UTALII DAR ES SALAAM ALIYESHINDA NAFASI YA PILI, MISS UTALII MOROGORO HADIJA SAID AMBAYE NDIYE MISS UTALII TANZANIA 2012/13, MGENI RASMI KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA TANGA LUTENI KANALI MSTAAFU CHIKU GALAWA,MKUU WA WILAYA YA TANGA HALIMA BENDEGO ,MISS UTALII VYUO VIKUU THERESIA KILOMO NA MISS UTALII SINGIDA MWAKOMBO KESSY ALIYESHINDA NAFASI YA TANO.
 WASHIDI WA TANO BORA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA VIONGOZI WA SERIKALI MKOA WA TANGA.

PROF JAY, JOH MAKINI, LORD EYEZ WALIPOKUTANA NA ANACONDA SOMEWHERE IN TOWN, WATAKA KUJUA NINI KILIKUWA KINAENDELEA HAPO!!?

Kuna wakati sisi watu wa kawaida huwa tunajiuliza maswali mengi kuhusu maisha ya mastaa, lakini inaweza kuongeza maswali kutaka kufahamu wakikutana celebs tunaowakubali nini hasa huwa hoja yao, ama ni bata tu.

Hii ni picha inayowaonesha baadhi ya wasanii wakali wa muziki hapa Tanzania, akiwemo The heavy weight MC profesa Jay, Mwamba wa Kaskazini, Lord Eyez, na wengine.


Profesa Jay alipost picha hii May 18, kupitia akaunti yake ya Twitter, lakini hakutaja eneo halisi walilokutana, labda ingetusaidia ku-guess agenda iliyokuwepo kama ni biashara ama ni bata tu.


Aliisindikiza picha hiyo na maandishi, “Some where in town @jidejaydee @lordisack @billl_sepetu @johmakini @wakazi @barakia”

HADIJA SAID AIBUKA MSHINDI WA TAJI LA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 KITAIFA CHEKI TASWIRA ILIVOKUWA

 
MSHINDI WA TAJI LA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 HADIJA SAID MISS UTALII MOROGORO  KATIKATI AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA LUCY NOEL MISS UTALII DAR ES SALAAM KUSHOTO NA MSHINDI WA TATU KULIA THELESIA KILOMO MISS UTALII VYUO VIKUU.
 
 MSHINDI WA TAJI LA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 HADIJA SAID MISS UTALII MOROGORO AKISHWA TAJI LA USHINDI NA MGENI RASMI KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA TANGA LUTENI KANALI MSTAAFU CHIKU GALAWA,MKUU WA WILAYA YA TANGA HALIMA BENDEGO
 

 KUTOKA KUSHOTO NI MISS UTALII KUTOKA MKOA WA KATAVI ASHA RAMADHANI ALIYE SHINDA NAFASI YA NNE, LUCY NOEL MISS UTALII DAR ES SALAAM ALIYESHINDA NAFASI YA PILI, MISS UTALII MOROGORO HADIJA SAID AMBAYE NDIYE MISS UTALII TANZANIA 2012/13, MISS UTALII VYUO VIKUU THERESIA KILOMO
 
 KUTOKA KUSHOTO NI MISS UTALII KUTOKA MKOA WA KATAVI ASHA RAMADHANI ALIYE SHINDA NAFASI YA NNE, LUCY NOEL MISS UTALII DAR ES SALAAM ALIYESHINDA NAFASI YA PILI, MISS UTALII MOROGORO HADIJA SAID AMBAYE NDIYE MISS UTALII TANZANIA 2012/13, MGENI RASMI KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA TANGA LUTENI KANALI MSTAAFU CHIKU GALAWA,MKUU WA WILAYA YA TANGA HALIMA BENDEGO ,MISS UTALII VYUO VIKUU THERESIA KILOMO NA MISS UTALII SINGIDA MWAKOMBO KESSY ALIYESHINDA NAFASI YA TANO.
 
 WASHIDI WA TANO BORA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA VIONGOZI WA SERIKALI MKOA WA TANGA.

SHAMIM MOHAMED ANYAKUA TAJI LA REDD'S MISS MZIZIMA 2013 CHEKI TASWIRA ILIVOKUWA HAPA

 Redd's Miss Mzizima 2013,Shamim Mohamed (kati) akipunga mkono muda mfupi baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa taji hilo katika shindano lililofanyika kwenye Ukumbi wa Lamada jijini Dar es Salaam,mwishoni mwa wiki.Wengine pichani ni Mshindi wa Pili,Munira Mabrouk (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu,Rehema Mpanda.(Picha na Michuzi)
 
 Warembo wa Redd's Miss Mzizima walioingia katika hatua ya tano bora,wakiwa wamejipanga kusubiri kupatikana kwa mshindi.
 
 Redd's Miss Mzizima 2013,Shamim Mohamed (kulia) akikabidhiwa hundi ya dola 450 kutoka kwa Mamaa wa Mitindo,Asia Idarous.
 

 Wacheza shoo wa Twanga Pepeta wakifanya mambo yao jukwaani. 
 
Waratibu wa Shindano la Redd's Miss Mzizima,Kushoto ni Sunday Mozzy pamoja na Osango wakipozi kwa picha.

PICHA ZA WASANII WA KENYA, WAHU NA NAMELESS NA MTOTO WAO TUMISO HII NI FAMILIA YA MASTAA WA KENYA YENYE FURAHA

Kati ya ndoa za watu maarufu hapa Mashariki ambayo inawavutia wengi, ni ndoa kati ya Msanii wa kike huko Kenya Wahu aliyefanya vizuri na wimbo wa 'Sweet Love' na msanii mwenzake Nameless ambaye naye aliwahi kutamba na wimbo wa 'Salary' na nyingine nyingi. Picha za pamoja wakiwa na mtoto wao ambaye hivi sasa ana miaka 6 zinaonyesha ni familia yenye furaha.
 
Hapo Nameless akiwa na mtoto wao akiwa mdogo
 
Wahu akiwa na mtoto wao Tumiso
 
Kipindi hicho mtoto wao akiwa mdogo
 
 Nameless akicheza na mwanae

Tumiso ndo aliyeimbiwa 'Sweet Love' na Wahu huyo. Hongera kwao kwa familia ya Furaha!
 
TUPIA MAONI YAKO HAPA CHINI

AFANDE SELE AGOMA KULA BAADA YA SIMBA KUPAKATWA NA YANGA

 
King Selemani ama Afande Sele kutoka mji kasoro bahari Morogoro ni moja ya watu wanaoonekana kuwa ‘addicted’ na ushabiki wa soka kiasi cha kushindwa kuvumilia maumivu ya kufungwa kwa timu anayoishabikia, Simba kitendo kilichompelekea asuse kula toka Jumamosi.

Akizungumza na Suddy Brown katika segment maarufu ya U Heard kupitia XXL ya Clouds FM, mke wa rapper huyo mkongwe Mama Tunda, amethibitisha kuwa mumewe amegoma kula toka siku ya mechi. 
 
Mbaya zaidi kwa Afande ni kuwa Mama Tunda na binti yao Tunda ni mashabiki wa Yanga hivyo wao na Selemani Msindi ni mashabiki wa timu mbili pinzani, hatupati picha humo ndani panavyokuwa ikifungwa timu anayoshabikia baba wa familia!. Minuno ya hatari bila shaka. Pole Afande.

CHEKI TASWIRA ILIVOKUWA USIKU WA KUMTOA MAMA YEYOO NA NJE BOX PALE MAISHA CLUB

Weusi jana walipiga show iliyopewa jina la "Usiku wa kumtoa mama Yeyoo Nje Box" kwenye ukumbi wa New maisha  club jijini Dar es Salaam,G nako,Nikki wa pili,Joh Makini,Lord Eyez,Peter Msechu, Ben pol walikuwa ni miongoni mwa waliotoa burudani..