Sehemu ya wajasilia mali wanaowezeshwa na benki ya NMB wakifuatilia maada zilizoendeshwa wakati wa semina hiyo
Mkuu wa kitengo cha mikopo midogo na ya kati, Filbert Mponzi akitoa maada kwa wajasilia mali iliyohusu umuhimu wa kuandika mchanganuo wa biashara kwa mjasilia mali.
Mkuu wa kitengo cha Akaunti Binafsi NMB, Abdulmajid Nsekela akielezea huduma ambazo mteja wa NMB anafaidika nazo mara awapo na akaunti na NMB
Bw. Harun Manyama Ungura mwenyekiti wa Mwanza Business Club akifafanua jambo katika mafundisho hayo.