Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Singida Mashariki-Chadema, Tundu Lissu kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro alikowasili May 8, 2013 ili kufungua mkutano Mkuu wa ALAT jijini Arusha, May 9, 2013. Lisu pamoja na wabunge wengine walikwenda Arusha kujionea athari za mlipuko wa bomu kwenye Kanisa Kstoliki la Olasiti. Katikati ni Mbunge wa Igalula Athumani Mfutakamba.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu