Thursday, 9 May 2013

Zitto Kabwe Amshawishi Mtanzania Adam Nditi Anaye Cheza Mpira Chelsea Aje Kuchezea Team ya Taifa

Adam Nditi Adam Nditi@Adam_Nditi
@zittokabwe ninahamu ya kuja kuchezea taifa stars ila kwanza nataka nipate experience 
 SWALI
@Adam_Nditi salaam Adam, lini utajiunga #TaifaStars ?
 JIBU
@zittokabwe halafu hatakama nikija niwe na uwezo wa kusaidia timu kama nitaitwa kwasababu ninahamu ya kuja kuichezea taifa stars
ZITTO KABWE AKASEMA
 
@Adam_Nditi ninakushauri ushiriki nasi katika kampeni ya #twendeBrazil #TzBrazil2014 maana lazima tupate kila talent ya Tanzania
 
@Adam_Nditi nakutakia Kila la kheri katika juhudi zako. Bidii na uhodari vinalipa sana