Hi ni picha ya super star Diamond aliwekaa jana kwenye mtandao wake wa Instangram akiwa amejitayarisha swadakta kabisa kwenda kushambulia jukwaa.....pamoja na dancers wake pichani awapo...!!
Dress code hiyo ya Kinyama ambayo imedizainiwa na vijana machachari kutoka Bongo land Twinsfashion Akufunguka kuwa gharama yake, Lakini ni ya kinyama sana....!!
More Info About Diamond Platnumz;Follow Him On Instangrama By DiamondPlatnumz,On Twitter By @Diamondplatnumz,On Facebook By Diamond Platnumz and u can also connect with Him By His Fan Page Goes By Diamond Platnumz............ |