Monday, 6 May 2013

DIAMOND AKUMBUKA FAMILIA, MAMA YAKE NA BABY MAMA WAKE....



Hii ni moja ya picha ambayo Diamond platnumz aliweka jana 
majira ya jioni kwa saa za
Uingereza kupitia mtandao wake wa Instangram akiwa mwenye 
furaha na katika hiyo picha
na Mnukuu kwa maandishi haya
''When am lukin to the Sun i see my Mum, Baby,Family
n True fan's Blessin me while my haters are Crying..


Ujumbe ambao Diamond Platnuzm aliandika
kuwafikishia salamu njema mashabiki zake,na
kusema kuwa amemiss mama yake,Familia yake
 na Baby mama wake.....!!

 

Hii ni picha nyingine aliweka kwenye mtandao wake wa
Instangram akiwa ana baridhi
mazingira ya nje mjini READING
Akitafakari kabla ya Show Ya jana usiku........