Wasanii mbalimbali wa muziki nchini, leo wamekutana kwa pamoja katika ukumbi wa New World Cinema, uliopo Mwenge jijini Dar es Salaam kuzungumza na waandaaji wa Tuzo za Kili, lengo la kikao hicho likiwa ni kujadili namna Tuzo za Kili 2013 zitavyotolewa kuepuka lawama.
(PICHA: ISSA KWISA MPONI / GPL)