Wednesday, 1 May 2013

LUCY NDIYE MISS DAR INDIAN OCEAN 2013

Mshindi wa taji la Redds Miss Dar Indian Ocean 2013, Lucy Tomeka anayepunga mkono katikati baada ya kuvikwa taji juzi usiku akiwa na mshindi wa pili, Sophia Yusuf (kulia) na mshindi wa tatu, Linda Joseph.