
TAREHE 8 MEI NI TAREHE YA MAJONZI KATIKA SOKA
Tarehe 08/05/2006 ni tarehe ambayo Gwiji wa soka na mchezaji wa zamani wa dunia ZENEDINE ZIDANE maarufu kama Zizzou alistaafu kucheza soka
Miaka 7 baadaye ambayo ni tarehe 08/05/2013 Kocha mzoefu na mkongwe aliyejipatia heshima kubwa ndani ya Uingereza na barani Ulaya SIR ALEXANDER CHAPMAN "ALEX" FERGUSON Amestaafu kufundisha soka kwa hiari yake mwenyewe legends