
Waswahili husema ..."Mapenzi ni UCHIZI"...
Hili ndo tunalolishuhudia kwa Mh Zitto na Manzi wake MAPEPE ( Loveness Diva ) ambaye ameamua kumtema na kupeleka penzi lake kwa Prezzo wa Kenya....
Kwanza ulianza ujumbe wa kumpongeza Prezzo na ahadi ya kumtema RAIS WETU MTARAJIWA....

Baaye kikafuata KIBUTI kwa mh. Mbunge.
