Monday, 6 May 2013

Wyre ashinda tuzo za reggae kama msanii bora mpya wa kimataifa

Staa wa muziki nchini Kenya, Wyre ameshinda tuzo ya mwanamuziki bora mpya wa kimataifa wa reggae kwenye International Reggae Award and World Music Award (IRAWMA) zilizofanyika Miami, Marekani.


BJeVGyQCAAENH1k

Wyre amewapiku wasanii wakali wa Jamaica wakiwemo Chronixx na D-major.

“I wanna thank everyone who voted for and supported me at the Int. Reggae Awards. We did it!!!”