
Mmoja wa Group la King of Shayo akionesha uwezo wake kwenye viwanja vya Coco Beach wakionesha mambo yao. Hili group la King of Shayo linapatikana maeneo ya Kinondoni, Amanasifu na unaweza kuwasiliana nao kwa simu ya Omary ni namba (0657056733) au Kassim namba yake ya simu ni 0652543256.

Hapa kazi ikiendelea

Hapa ilikuwa ni raha kwa kwenda mbele maana hakuna kwenda sehemu yoyote nje ya nchi kila kitu unakipata Tanzania

Kazi ikiendelea

Huu ni huwezo binafsi wadau kazi ni kwnu maana vijana wameonesha fursa kikubwa ni kuwaunga mkono katika sanaa yao wanayoifanya nchini Tanzania

Kazi inaendelea

Group la King of Shayo wakiwa kazini kwenye viwanja vya Coco Beach wakionesha mambo yao

Hili ndilo group la King of Shayo wakiwa kwenye picha ya pamoja

Group la King of Shayo wakiwa kwenye picha ya pamoja na mmiliki wa blog ya pamojapure(wa kwanza kulia)
ASANTE PAMOJAPURE