Posted by
Unknown
at
10:10
Huenda Tanzania ikaanza kumchukulia Jose Chameleone si kama tu mwanamuziki mahiri bali pia kama balozi mzuri wa lugha ya Kiswahili duniani. Tazama video hii ya wasichana wa kimarekani na kichina wakiimba hit single yake, Badilisha.