Monday, 6 May 2013

"HUO ULIKUWA WOSIA WA KWANZA TU, WA PILI NITAUTOA WIKI IJAYO.....STAY TUNED ".....LADY JAYDEE

LADY JD AMJIBU RUGE MTAHABA muda huu@# Anasema"Ruge ninamengi ya kusema juu yako,Nilichokiongea mara ya kwanzaa ni trela tu.Watanzania nitatoa awamu ya pili ya wosia wangu tar.15 na 17 mwezi huu wa tano" stay tuned