Wednesday, 1 May 2013

UJENZI WA MADARAJA WAFANYIKA MAENEO KOROFI WILAYANI LUDEWA

Daraja la awali la waenda kwa miguu katika kata ya Kilondo mwambao wa ziwa Nyasa ambapo pia daraja jipya limejengwa hivi karibuni.

Ujenzi wa daraja jipya ukiwa umeanza na kulibomoa daraja la zamani

Hili ni daraja jipya likiwa linaanza kujengwa

ujenzi wa daraja jipya kwa kutumia vyuma kata ya kilondo

ujenzi wa daraja jipya

daraja la zamani likitolewa na kujengwa daraja jipya

mafunzi wakiendelea na ujenzi

 ujenzi wa daraja jipya

hili ndilo daraja jipya la waenda kwa miguu katika kata ya Kilondo mwambao mwa ziwa nyasa wilayani Ludewa

Daraja la zamani la Kipulilo katika kijiji cha Mbongo kata ya Manda wilayani Ludewa

Wajenzi wakiangalia namna ya ujenzi wa daraja jipya

Mwananchi akishindwa kupita baada ya daraja la zamani katika mto Nchuchuma kuondoa kingo za daraja hilo
 
Hili ndilo daraja jipya baada ya lile la zamani kuvunjwa na maji

wananchi wa mbongo wakiliangalia daraja jipya baada ya kujengwa


mafundi wakiendelea na shughuri za umwagiliaji maji katika daraja hilo

hili ndilo Daraja jipya la mbongo

haya ni matundu ya kupitishia maji ili kuepusha uharibifu wa mafuliko

Mafundi wakiendelea na ukarabati wa daraja jipya la kipulilo Mbongo kata ya manda

daraja likiwa limekamilika

Mwananchi akipita bila hofu yoyote