Monday, 13 May 2013

THE PRESIDENT MWENYEWE PREZZO ANAYEGOMBANIWA NI HUYU HAPA KAMA HUJAMJUA BASI MCHEKI HAPA

  





Guys kuna watu wameniambia eti awamjui THE PRESIDENT HIMSELF Prezzo huyo anaegombaniwa sana huko twitter basi mie sikuwa na hiyana nikaamua tu kuwawekea picha zake mumuone maana isiwe kesi tena.. Thanx to Zay mselemu kwa kutuletea picha hizi. Tupia neno pale chini kama unalo.