Waimbaji wa muziki wa injili nchini Bahati Bukuku, Bonny Mwaitege, Christina Shusho, Martha Mwaipaja, Rose Muhando na Upendo Nkone wametajwa kuwania tuzo kubwa zaidi za muziki wa injili za nchini Kenya, Groove Awards 2013.
Waimbaji hao wote wametajwa kwenye kipengele kimoja cha ARTIST OF THE YEAR (TANZANIA).
Wednesday, 8 May 2013
Rose Muhando, Upendo Nkone, Bahati Bukuku na wengine kuchuana kwenye Groove Awards 2013 (Kenya)
Posted by
Unknown
at
04:03
Labels:
BURUDANI