Tuesday, 7 May 2013

Picha: Sugu na mama wa mtoto wake wakifurahia utalii wa ndani Mlima Kitonga


Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, ameshare picha zinazowaonesha akiwa na mwanae pamoja na mama wa mtoto wake huyo, Faiza Ally, waliamua kupark usafiri wao pembeni ya barabara na kufurahia mandhari ya kuvutia ya Mlima Kitonga, mkoani Iringa. Tazama picha zao.

946294_484823404924724_125451513_n
Sugu akifurahia mandhari ya Kitonga
Sugu akifurahia mandhari ya Kitonga
Yohoooooo!!!
Yohoooooo!!!
Faiza na mwanae
Faiza na mwanae
935165_484821214924943_1643712272_n
Sugu na familia yake
Sugu na familia yake
420602_484821008258297_1740602839_n
Faiza
Faiza
248110_484822511591480_213699350_n
216202_484824194924645_1176846821_n