Thursday, 16 May 2013

Picha mpya za utata za Huddah Monroe: Warning, you may fall in love

Hivi karibuni Huddah Monroe wa Kenya ametokea kupata mashabiki wengi nchini Tanzania hasa kutokana na vita yake ya Jumapili iliyopita na Diva juu ya Prezzo. Huddah aka Thee Boss Lady anajulikana kwa picha zake nyingi za utata na maisha yake hayo controversial yamemfanya awe model wa Kenya anayezungumzwa zaidi kwenye mtandao. Ingia ndani kuona picha za utata za hivi karibuni za mlimbwende huyo.


2366083eb28a11e2905222000aaa031b_7
5d2da4d6bd3511e2919b22000a9f1988_7



credit bongo5