Hivi karibuni kuna tetesi zilienea katika mitandao ya Kenya kuwa huenda Miss Kenya 2012 Shamim ndiye atatimiza malengo ya Mr. Nice ya kuoa mkenya, kutokana na kuonekana pamoja mara kadhaa na katika muonekano wenye dalili zote za mapenzi 'activated'.
Lakini taarifa hizo zimekanushwa na binti huyo mrembo Shamim ambaye amesema hawezi kabisa kudate na Mr. Nice sababu sio type yake!