Sunday, 19 May 2013

MABONDIA WAKUBALI KICHAPO KUTOKA KWA TASWA FC EMBU ANGALIA HAPA JINSI MABONDIA WALIVOGEUZIWA KIBAO NA KUTANDIKWA WAO

Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akitoa maelekezo kuhuzu mchezo huo walipocheza timu ya mpira ya mabondia na TASWA FC

Bondia Daudi Muhuzi akishindana na Mbuyu wa timu ya TASWA FC Majuto Omari wakati wa mpambano wao
Kocha wa kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila ' Super D' akisisitiza jambo wakati wa mapumziko  
Mchezaji wa timu ya Taswa akipambana na bondia kuwania mpira
 
SUPER D BOXING COACH AKISISITIZA JAMBO WAKATI WA MAPUMZIKO WA MCHEZO HUO.PICHA NA SUPER D