Kwa utafiti uliofanywa na Film Central, msanii mwenye mvuto katika mitandao na kufuatiliwa habari zake na watu wengi ni Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye ndio msanii anayeongoza kwa video za matukio yake kuwa na mvuto na kutembelewa na watu wengi baada ya video yake tu.
Tuesday, 14 May 2013
“Lulu ndiye msanii anayeongoza kwa mvuto mitandaoni” – Film Central
Posted by
Unknown
at
15:37
Labels:
BURUDANI