Friday, 17 May 2013

KUTOKA SINTAH BLOG, HAWA NDO WADADA 8 MAARUFU BONGO, WALIOAMUA KUTOTUMIA MIKOROGO NA KUBAKI NA RANGI YAO YA ASILI YANI WEUSI

VANESSA MDEE

Fiderine Iranga

Aunt Ezekiel
Zamaradi M
Irene Uwoya
Linah baby
Dina n Sakina 
Miriam Odemba
Yes wapenzi leo nimewaletea maduu wa bongo wasiojua hata chembe ya kujipiga deki , kwakweli hawa wadada wameamua kurithi asili yetu ya UAfrica, hawajui hata lotion nini kwao, inapendeza kuona bado kuna vichuna vipo black na wanakikii kinoma town. hongereni sana wapendwa kwa kujiweka sopsop bila carolight.

kuwa mmoja wao  USIJICHUBUE 

upigaji wa deki ni hatari kwa ngozi yako.