Katika pita pita zangu za kufuatilia undani wa hii tamthilia
nikakutana na udaku wa kuwahusu wasanii wengi wa
Philipine. na hapa naanza na huyu mwana dada na picha
zake mbaya na za utupu nilizoziona na zikiwa na story
zisizoridhisha. nikajaribu kumuuliza rafikii wangu anayeishi
huko na alinijibu kuwa Mylene alikuwa mwenye tabia
zisizoridhisha kipind cha ujana. Ila kwa sasa mwigizaji huyu
ametulia na hana visa kama zamani enzi akianza kuvuma.
hizi hapa ni baadhi ya picha zake. na baada ya hizi
tutakuletea udaku wa mwigizaji mwingine ambaye pia nae
ameshiriki kwenye Mara Clara. unataka kujua ni nani???





Hii hapa ni picha yake akiwa ancheza muvi yake kama gaidi na muuwaji msichana. miaka ya 2009 na kuazia kipindi hicho aliaanza kujitambua na kuacha, na sasa ni mama wa familia na alitoa kauli nyingi za kuomba radhi mara baaada ya kutambua aliyokuwa anafanya hayakuwa mazuri kwa msanii mkubwa kama yeye ambaye alitazamwa na jamii ya watu wengi ndani na nje ya Philipino.
