Posted by
Unknown
at
01:47
Aliyekuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Stargame mwaka jana, Julio Batalia amezungumza na Bongo5 kuhusiana na maisha baada ya Big Brother na career yake kimuziki. Kwa sasa ameachia wimbo mpya uitwao Mr Big Brother. Mtazame kwenye mahojiano haya akizungumza mengi.