
Ukumbii..

opening show..

sophia akipita na vazi la ubunifu, with no eason nilikapenda, na wengine wawili pia ingawa sijawaona sijui walikimbia mashindano teh!

queen macha akijinadi kwa majaji na mashabiki waliodhuria shindano hilo

ulipendeza sana queen..

sophia..

top 5 ya miss dar indian ocean 2013

mjukuu wangu mwenyeweee, #FormerMissDarIndianOcean diana hussein akisubilia kuvua taji.. rangi ilikung'arishaje!!

lucy tomeka, malkia mpya wa kitongoji hiko akivalishwa crown

TOP 3 ya MISS DAR INDIAN OCEAN 2013