Thursday, 9 May 2013

BREAKIN NEWZZZZ : MAHAKAMA SASA HIVI IMEMRUDISHIA UBUNGE WAKE MBUNGE WA IGUNGA, PETER KAFUMU, KUANZIA LEO NI MBUNGE HALALI WA IGUNGA.


Mahakama ya Rufaa imemrudishia Ubunge DK. DALALY PETER KAFUMU -Igunga(CCM).

Mahakama Kuu Kanda ya Tabora ilimvua Ubunge Dk. Kafumu baada ya madai ya kukiuka utaratibu wa Uchaguzi wakati wa Kampeni katika Kesi iliyofunguliwa na Mwl. Joseph Kashindye aliyekuwa Mgombea kwa tiketi ya Chadema.