
WAKATI
vifo vikizidi kuwatafuna wasanii, staa wa sinema za Kibongo, Aunt
Ezekiel amefunguka na kudai kuwa hawezi kuishi miaka mingi na atakufa
mapema kuliko watu wanavyodhani.
Aunt
Ezekiel alifunguka hayo juzikati alipokuwa akipiga stori na
mwandishi wetu jijini Dar ambapo alibainisha kuwa akijitazama
mustakabali wa maisha yake basi anaona kabisa kuwa hawezi kufikisha
hata miaka 40 kabla hajafa. “Daah!
Sijielewi kabisa yaani kwa jinsi ambavyo najiona,...