Baadhi  ya walimbwende wa wilaya ya Mbeya Vijijini wakiwa katika pozi, wana  urefu, shepu na haiba za kuvutia hakika kinyang'anyiro kitakuwa  kigumu.....
 Wadau mnaona mambo haya?!!!Katikati  ni Sarah Kalinga ambaye ni Mkurugenzi na mratibu wa Miss Redds 2013  Mbeya Vijijini ambaye pia anaongoza kampuni ya Mama Neema Decoration.