
Kwenye  kipindi cha Power Breakfast kitakacho rushwa siku ya jumatatu saa   mbili asubuhi Ruge Ataongelea issue ya Jay Dee ,Lady Jay Dee ameingia   kwenye vita kali na Clouds Fm huku akimshambulia Joseph Kusaga na Ruge   Mutahaba kwa madai kuwa ndio wanaokula jasho la wasanii.