
 Rais  Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwenye hafla ya kuchangisha fedha  kwa ajili ya mkutano wa Smart Partnership  Mei 3, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa  katika picha ya pamoja na washikadau toka katika mashirika binafsi na  ya umma  walioalikwa katika hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya  mkutano wa Smart Partnership Mei 3, 2013 Ikulu jijini Dar es  salaam.PICHA NA IKULU