Zile
  picha za kundi la Ze Komedy la linalorusha kipindi chake kupitia  
televisheni ya East Africa TV zinazowaonesha wasanii hao wakiwa na  
mabint ufukweni zimechukua sura mpya baada ya wanasheria  kuahidi  kuzisaidia familia za wazaza wa mabint hao. 
Wakitoa maoni yao kwa nyakati tofauti, wananchi hao wamesema" Nimeziona picha hizo kupitia mtandao wenu kweli imeniuma kama mzazi kwani huo ni unyanyasaji ambao haukubariki hata kidogo naziomba familia za mabint hao kuchukuwa hatua kali ikiwa ni pamoja na kushtaki ili iwe fundisho kwa wasanii wengine wanaopenda kudhalilisha watu wengine kwa masrahi yao binafsi" Alisema Fortunatus Kasomfi ambae ni mtanzania anaeishi nchini Afrika Kusini
Aidha nae Hawamu Juma ambae ni mkazi wa Arusha maeneo ya Unga Limited ambae ni Mwanasheria maarufu Mkoani humo alioneshwa kusikitishwa sana na tukio na kuwashauri wazazi wa wasichana hao kumtafuta kwa ajili ya kuwafungulia mashtaka wasanii hao

" Napenda kuwashauri wazazi wa wabinti  hao kama wanahitaji msaada wa kisheria wanitafute kupitia  simu namba 0713-146416 nitawapa mawazo ya kitaalam ya kisheria ili wasanii hao  wafikishwe mahakamani" Alisema Mwanasheria huyo
Taarifa  za  ndani ya chungu zinadai  kuwa  kulikuwa na  ushawishwaji mkubwa kwa mabinti hao wakati wa kupigana picha hizo kwa  madai kuwa watasaidiwa kuwa mastaa kama watapiga picha hizo na mastaa  hao. 

Huyu 
 ni  Happy na Master  Face   wakifanya  Uchafu wao....Hapa  
wanatomasana  kabla ya uzalendo  kuwashinda  na  kuamua  kuvunja  amri  
ya  sita...

Tayari
 kuna taarifa kuwa baba mzazi wa mmoja wa wasichana hao ambae  anaishi 
Tabata ameanza kuchukuwa hatua za awali kwani siku ya tukio  msanii wa 
kundi la Komedy Manaiki Sanga alifika nyumbani kwa bint huyo  na 
kumchukuwa kwa madai kuwa anaenda nae Location.
Mpaka sasa kiongozi wa kundi hilo ambaye ni Mtanga ameshindwa kuchukuwa hatua yoyote dhidi ya wasanii wake walihusika na tukio hilo chafu ....
Mpaka sasa kiongozi wa kundi hilo ambaye ni Mtanga ameshindwa kuchukuwa hatua yoyote dhidi ya wasanii wake walihusika na tukio hilo chafu ....