Saturday, 11 May 2013

MTAJI WA MASIKINI NI NGUVU ZAKE MWENYEWE

Msukuma mkokote akisukuma mkokoteni uliosheheni viroba vya chupa tupu za maji ya kunywa katika eneo la Mtawala wakati akisafirisha chupa hizo katikabarabara kuu Msavu-Mjini kutoka sehemu moja kwenda nyingine Manispaa ya Morogoro.