
Mambo vipi mwanahabari....
Katika pitapita zangu nimefanikiwa kumnasa live Salama Jabir akinyonyana ndimi bila chenga na mwenzake...!!
Nashindwa kuthibitisha huyo wa pili ni nani na ni jinsia gani....nikimwangalia haraka haraka naona kama ni mwanaume na namfananisha na mdogo wake Wema Sepetu aitwaye Bill Sepetu.....

Nikijaribu    kukaza  macho  kwa  kwa  makini,  huyo  wa  pili  namuona  kama  ni    mwanamke  kutokana  na vazi  lake.Hicho  cha  mabegani  nakifananisha     na  sidiria  za  akina  dada....!!
Yaani nimeumiza macho mpaka yanauma...Nashindwa kuyaamini macho yangu kuhusu Salama Jabir. Sikutegemea...!!
Yaani nimeumiza macho mpaka yanauma...Nashindwa kuyaamini macho yangu kuhusu Salama Jabir. Sikutegemea...!!
Ni mimi, Mdau wenu...
source mpekuzi