Pichani juu ni matengenezo ya uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera ambao unapanuliwa pamoja na kuwekwa lami baada ya kuwa wa vumbi kwa muda mrefu. Matengenezo hayo yanaenda sambamba na ujenzi wa jengo la wasafiri, eneo la kuongozea ndege na kituo cha mafuta. Baada ya matengenezo, uwanja huo utaruhusu ndege kubwa kuweza kutua.
Monday, 29 April 2013
PICHANI:: TASWIRA MBALIMBALI ZA MATENGENEZO YA UWANJA WA NDEGE WA BUKOBA
Posted by
Unknown
at
00:45
Labels:
HABARI