Tuesday, 30 April 2013

Msanii Hammer Q amdunda mkewe, Salha, kama mwizi ..Angalia Picha Hapa Zikimuonesha bibie huyo akiwa na majereha ya Kichapo hicho


Baadhi ya picha za mkewe baada ya kipigooooo.
 







Nguo za Hammer Q zikiwa zimetapakaa damu hatariiiii.
 


Kwa mujibu wa Mvanguaji Salha alipewa kichapo hiki baada ya kumtambulisha rafiki yake wa kiume ambae ni Tx Moshi kwa mumewe Hammer Q. Inavyosemekana alimpiga mateke, mangumi, akampasulia kioo kichwani, kampiga na jiko la mkaa kichwani n.k 
source-laivu.com