Picha za “behind the scenes” ya Lazy boy ya Shija na Wolper ambayo inatarajia kuingia sokoni hivi karibuni.

Wolper katika pozi

Rado katika pozi

Mdogo wake Jackline Wolper.

Shija akicheka

Shija akiwa katika scenes ambayo inaonyesha anawasili Airport

Behind the scenes, ya Lazy boy ya shija wakiwa location

Wolper aliamua kuwa camera-woman!

Mrembo fatna Kivava
Mashikolo na Mdogo wake Jackline Wolper