Nimepita  kwenye mitaa ya hapa Washington DC katika mtaa wa colombia na  18street [adams morgan]. Nimeona kuna mabango na Matagazo kuhusu uonevu   unaofanywa na serikali ya CCM huko Tanzania. Ni picha za akina mwangozi,   mauaji ya morogoro, mauaji kule songea, na arusha. Nimeona watu wengi   wanasema hii Tanzania si inchi ya amani hii imetoka wapi tena?.
 Kuna  mwingine akasema imebadilika sana. Tunachotakiwa ni kupiga simu  au  kumweleza congress man wako kuhusu hii issue. Tupate ukweli wake.
HII NI HATARI SANA.....