Mwishoni mwa mwezi Machi mwaka huu udongo huu uliporomoka eneo la Lwamadovela wilayani Makete na kusababisha lori hili kukwama kutokana na udongo huo kuporomokea barabarani, hali iliyopelekea kukatika kwa mawasiliano ya barabara hii kwa siku moja
Kwa hivi sasa udongo huo umeshaondolea na TANROADS mkoa wa Njombe kama palivyokutwa na kamera yetu, hali inayoleta matumaini kwa watumiaji wa barabara hiyo
Hapa ndipo udongo ulipoporomokea, lakini sasa ni peupe peeeeeeeeeeeeeee!