
Cristiano Ronaldo akiwa ameduaa baada ya kukosa goli
LICHA YA KUPATA USHINDI WA BAO 2-0 JANA USIKU MADRID IMELAZIMIKA KWENDA NJE KWA JUMLA YA BAO 4-3 BAADA YA KUKUBALI KICHAPO CHA 4-1 WAKATI WA MCHEZO WA KWANZA ULIOFANYIKA HUKO UJERUMANI. KWA MAANA HIYO DORTIMUND WATAKUWA WENYEJI WA FAINALI ZA UEFA MWAKA HUU HUKU IKIWA INASUBIRI MPINZANI WAKE KATI YA BAYERN NA BARCELONA AMBAZO ZITZKIPUTA BAADAE JIONI YA LEO KUTAMBUA NANI ATAKWENDA FAINALI.

Cristiano Ronaldo akimpita mchezaji wa Borussia Dortmund, Sven Bender

Mchezaji wa Borussia Dortmund, Ilkay Guendogan akimkaba mchezaji wa Real Madrid, Xabi Alonso

Karim Benzema akifunga goli la kwanza

Karim Benzema akijaribu kuchukua mpira kwa golikipa wa Borussia Dortmund, Roman Weidenfeller

Mchezaji wa Real Madrid', Sergio Ramos,akifunfa goli na kusababisha ubao wa magoli kusomeka 2-0


Robert Lewandowski akijaribu kuwapita Sergio Ramos na Michael Essien katika mechi ya pili iliyowafungisha vilago Real Madrid


Sergio Ramos akishangilia na Karim Benzema baada ya kuifungia timu yake goli la pili

Wachezaji wa Borussia Dortmund wakishangilia baada ya kufanikiwa kuingia fainali kwa kuifunga Real Madrid kwa 4-3