Katika  kipindi cha Tuongee asbuhi Makamu mkuu wa chuo cha SAUT Father  Charles  Kitima amesema kitendo  cha  bunge kuingilia Baraza la mitihani na  kutaka  mitihani isahihishe  upya ni kuvunja sheria ya nchi. ....
Kitima  amesema wanaosema mitihani  isahihishwe upya hawana vision ya nchi hii kwani wako Bungeni kupiga  madawati na kufundisha watoto matusi kwa hiyo hawana weledi wa kuongoza  nchi hii.
  
Makamu huyo ameongeza kwa kusema Rais wanamlaum bure kwa sababu kuna waziri wa elimu MPUMBAVU ambaye ndiye anayepaswa kulaumiwa
Amesema bunge letu linatumiwa vibaya na wabunge walio wengi kwa kupitisha kila kitu kinacho jali masilahi yao wakati wao watoto wao wako nje ya nchi,pia akaongezea kwa kusema nchi hii imekufa usalama hakuna elimu imekufa na watu wanatumia bunge vibaya..