Friday, 17 May 2013

INAVYOSEMEKANA MADEE KACOPY NA KUPASTE WIMBO WAKE WA POMBE YANGU KUTOKA KWA HUYU JAMAA! JIOONEE MWENYEWE HAPA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg3bmUAg8dustmGB5S0B1muPntSxN9LMXXsug7It45BPuYcjJ8JVHvYIK6HlbrvuLo2r0Q4SeqAY00J_PGYhN2izmYi0klTxbVbTjYfL9F4cgEuvFc2SBx73YCWn_MRfaPdCU9RnAFjHFXC/s1600/Ama+the+maker+-+Ule+msonga+%5BDJMwangaBLOG%5D.jpg

Je ni kweli kuwa Madee kacopy na kupaste! Ukisikiliza vizuri wimbo wa madee na huu hapa chini katika video utagundua kama zinaendana hivi kwa kiasi kikubwa. Sasa utata utamalizwa leo katika Exclusive Interview katika the Week end Chat show Clouds Tv saa nne Usiku mpaka saba.... Jamaa mwenye video atafunguka kila kitu usiku wa leo. Usikose Show


COMPARE NA HII HAPA CHINI