Wednesday, 8 May 2013

HUYU NDIYE MWANAFUNZI WA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) ALIYEFARIKI BAADA YA KULA CHAKULA CHENYE SUMU KUTOKA KWA MKE WA MTU

Huyu ni Rogers Evarist (pichani juu) aliyefariki tarehe 04, MAY 2013 siku hiyo jumamosi. Inasemekana alifariki  kwa kula chakula kulichowekewa sumu huko maeneo ya Kigamboni jijini Dar es Salaam. Alisoma  kidato cha  tano na sita kwenye shule ya Arusha Sekondari uwa anasoma mwaka wa pili katika chuo cha usimamizi wa fedha(IFM) anasoma
 BA. Acounting.

 R.I.P BROTHER