Katibu mwenezi wa chadema wilaya ya mbeya vijijini Jackson Mwasenga ambaye pia ni mwenyekiti wa Kitongoji cha mzalendo kijiji cha Ndola mjini Mbalizi akiwa katika Hospitali ya Mbalizi Ifisi akipata matibabu baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana.
Monday, 13 May 2013
HUYU NDIYE KIONGOZI WA CHADEMA ALIYEPIGWA RISASI MBEYA MCHEKI HAPA PICHANI
Posted by
Unknown
at
15:23