Rapper  Roma Mkatoliki ni  mshindi wa tuzo za KTMA 2012 lakini mwaka huu 2013  hajapata nafasi  yoyote ya kuwa nominated kwenye list, ni miongoni mwa  mastaa wa hiphop  ambao hawako kwenye list kabisa mwaka huu ambapo moja  ya vigezo vya  msanii kushiriki kwenye tuzo hizo ni lazima wimbo wake uwe  umefanya vizuri kwa mwaka uliopita. 

.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI KUHUSIANA NA HILI
