Habari ambazo zimetua hapa kwa mfuatiliaji wetu mida ya jioni zinadai kuwa msafara wa askari wa FFU pamoja na gari la zimamoto kutoka jiji la Mbeya upo njiani kuelekea mjini Iringa kuongeza nguvu zaid.
Hii inamaanisha wananchi wa manispaa ya Iringa kuchukua tahadhari kabla ya hatari maana hali inaweza ikawa mbaya kama nguvu hizo zote zikatumika hapo.