Msanii wa filamu Tanzania Jacqueline Wolper akiwa amefika katika uwanja wa TTC Chango'mbe tayari kwa kujianda na mechi iliyochezwa kati ya timu ya netboll ya Bongo movi na timu ya waandishi wa habari za michezo Tanzania (TASWA) juzi ambapo timu ya bongo movi iliweza kufungwa magori 33 kwa 10
Monday, 13 May 2013
CHEKI PICHA ZA YALIYOJILI BONANZA LA TASWA NA BONGO MOVIE, WOLPER AJIPIGA MAKE-UP HADI MCHEZONI, SOMA HAPA
Posted by
Unknown
at
00:48