Thursday, 9 May 2013

BAADA YA MAJANGA YOTE YA UK HIKI NDICHO DIAMOND ALICHOAMUA KUMFANYIA MPENZI WAKE PENNY!!


diamond akiwa na penny muda mchache baada ya kutua jijini Dar ambapo wawili hao walionekana wakiwa pamoja wamechilii namna hii.